MBAO FC SASA KUMILIKI USAFIRI WAO - EDUSPORTSTZ

Latest

MBAO FC SASA KUMILIKI USAFIRI WAO

Klabu ya Mbao FC imeingia kwenye orodha ya klabu zinazomiliki usafiri wake.

Mbao FC leo imekabidhiwa basi na wadhamini wake kampuni ya GF Trucks & Equipment LTD.

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angella Mabula ambaye amekuwa akiunga mkono michezo katika mkoa wa Mwanza alikuwepo kukabidhiwa.



like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>



CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI








Follow @bakalemwatz


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz