KOCHA MAYANJA AJIUZULU SIMBA - EDUSPORTSTZ

Latest

KOCHA MAYANJA AJIUZULU SIMBA



Kocha Msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja amejiuzulu kuifundisha timu hiyo, huku akiweka bayana kwamba ni kutokana na sababu za kifamilia.

Tangu jana Jumanne usiku kulikuwa na taarifa za kufukuzwa kocha huyo na uongozi wa klabu hiyo, lakini tayari ameweka wazi jambo lililomsukuma kuachana na Wekundu hao wa Msimbazi.

Mayanja ameachia ngazi, huku Simba ikiwa inaongoza kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 12 sawa na wapinzani wao Yanga, lakini wakizidiana mabao ya kufunga na kufungwa.
Kikosi cha Simba kinatarajia kuikaribisha Njombe Mji kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam wikiendi hii

 like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>



CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI










Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz