KIPA BORA TUZO ZA FIFA HUYU HAPAA - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 23 October 2017

KIPA BORA TUZO ZA FIFA HUYU HAPAA
Kipa mkongwe wa Juventus, Gianluigi Buffon ametangazwa kuwa kipa bora katika tuzo za Fifa zinazoendelea jijini London.


Buffon ameibuka na ushindi katika tuzo ya kipa bora akiwangusha Keylor Navas wa Real Madrid ambao ni mabingwa wa Ulaya na Manuel Neuer wa Bayern Munich. like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment