KIKOSI CHA MTIBWA SUGAR DHIDI YA YANGA - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

Friday, 29 September 2017

KIKOSI CHA MTIBWA SUGAR DHIDI YA YANGA
Klabu ya Mtibwa Jumamosi ya tarehe 30.09.2017 inataraji kushuka uwanjani kukabiliana Young Africans katika mchezo wa mzunguko wa 5 wa ligi kuu bara( Vodacom Premier League) katika uwanja wa Uhuru .
Timu ya Mtibwa Sugar imetua jijini Dar es laam ikiwa na jumla ya watu 26 ,wachezaji 20 na benchi la ufundi lenye watu sita.
Wachezaji waliosafiri na timu ni pamoja na makipa Abdallah Makangana, Benedictor Tinocco

MABEKI 
 Salum Kanoni, 
Issa Rashid, 
Rodgers Gabriel
Hassan Mganga,
 Cassian Ponera,
 Dickson Daud,
 Jamal Masenga. 
VIUNGO
Henry Joseph Shindika, 
Shaban Mussa Nditi,
 Ally Makarani, Mohamed Issa,
 Hassan Dilunga,
 Ismail Aidan,
 Seleman Kihimbwa na 
Saleh Khamis Abdallah.

WASHAMBULIAJI WATAKAO KOSA MCHEZO
 Kelvin Sabato, 
Hussein Javu na 
Stamil Mbonde

Kikosi cha Mtibwa Sugar chini ya kocha Zuber Katwila kimeshinda michezo mitatu na kutoka sare mmoja hivyo kufikisha pointi 10 katika msimamo wa ligi kuu bara (Vodacom Premier League) na kufanikiwa kuongoza msimamo wa ligi kuu huku Young nayo ikicheza michezo minne ambayo ni sawa na Mtibwa Sugar na kuvuna pointi 8 na ipo katika nafasi ya 6 katika msimamo wa ligi kuu bara.

like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI