BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 18 September 2017

COUTINHO;ILIKUA FURAHA YANGU KUJIUNGA BARCELONA

Barcelona ilikuwa tayari kulipa zaidi ya Pauni 100 milioni kumpata Coutinho, lakini Liverpool ilikomaa na kumbakiza kiungo huyo Anfield.

Liverpool, England.KIUNGO, Philippe Coutinho amesema nia yake ilikuwa kujiunga na Barcelona kwenye dirisha lililopita, lakini kwa sababu jambo hilo limeshindikana, sasa ameamua kutuliza akili yake Liverpool.


Barcelona ilikuwa tayari kulipa zaidi ya Pauni 100 milioni kumpata Coutinho, lakini Liverpool ilikomaa na kumbakiza kiungo huyo Anfield.


Coutinho, 25, alifikia hata hatua ya kuwasilisha barua ya kuomba kuondoka ili akatue Camp Nou.


"Siku zote naiheshimu Liverpool, mashabiki, wachezaji na wakurugenzi. Ni heshima kubwa kupokea ofa kutoka kwenye klabu kubwa. Lakini, Liverpool ni klabu kubwa pia."

like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment