BAKHARESA ATIA MKONO SINGIDA UNITED - EDUSPORTSTZ

Latest

BAKHARESA ATIA MKONO SINGIDA UNITED




Timu ya Singida United leo Jumanne wamefanikiwa kuingia mkataba na Bakharesa Food Products Limited wa miaka miwili ambao ni udhamini wa maji ya kunywa kwa misimu miwili mfululizo.
Hizi ni jitihada za viongozi wa klabu hii kuhakikisha Singida United inasonga mbele katika maendeleo ya mpira wa miguu.

Mkurugenzi wa Singida United, Festo Sanga alihudhuria shughuli ya kuweka saini mkataba huo.



like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika

For Booking>>>



CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI










Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz