EDUSPORTSTZ

Edusportstz ni blog maalumu kwa habari za michezo,tetesi za usajili, ligi kuu vpl, epl na laliga pamoja na habri za soka za kimataifa.

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Saturday, 15 July 2017

YANGA YAMTAMBULISHA AFISA HABARI MPYA.


Katibu Mkuu wa klabu ya Yanga,Charles Boniface Mkwasa leo amemtambulisha Afisa Habari mpya wa Klabu hiyo Dismas Teni ambaye pia atakuwa mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo. Aidha Mkwasa ametoa wito kwa wachezaji wa zamani wa klabu hiyo kuhudhuria mkutano wa kujadili mambo mbalimbali ya klabu hiyo kesho jumamosi saa 5 asubuhi,mkutano utaongozwa na Kaimu Mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga.

No comments:

Post a Comment