Conte aongeza miaka miwili Chelsea - EDUSPORTSTZ

Latest

Conte aongeza miaka miwili Chelsea



Antonio Conte
Meneja wa klabu ya Chelsea, Antonio Conte amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuwanoa mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu ya England.
Conte katika msimu wake wa kwanza ameisadia Chelsea kutwaa ubingwa wa England kwa kushinda michezo 30,na kucheza fainali ya michuano ya kombe la Fa licha ya kufungwa na Arsenal katika fainali.

Baada ya kusaini mkataba huo mpya Conte alisema " nina furaha sana kwa kusaini mkataba huu mpya,"

Nae mkurugenzi wa klabu hiyo Marina Granovskaia, aliongeza kwa kusema "mafanikio makubwa waliyopata, pamoja na uhodari wa kocha huyo ndio kimewapa imani ya kumuongezea Conte mkataba mpya".


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz