SOUTHAMPTON IMEMTIMUA KOCHA WAKE MKUU NA HAWA NDIO WANAOTAJWA KUZIBA NAFASI YAKE. - EDUSPORTSTZ

Latest

SOUTHAMPTON IMEMTIMUA KOCHA WAKE MKUU NA HAWA NDIO WANAOTAJWA KUZIBA NAFASI YAKE.




Aliekua kocha wa klabu ya Southampton "Claude Puel" ametimuliwa katika kikosi hicho ikiwa ni msimu mmoja tangu kujiunga na kikosi hicho,imeripoti Daily Express.

Mfaransa huyo alijiunga na klabu hiyo akitokea katika klabu ya Olympiqe GymnasteClube Nice Côte d'Azur ambayo walio wengi huiita Nice.


Hata hivyo watakatifu hao wanatajwa kuwania saini ya mmoja kati ya makocha hawa,Thomas Tuchel aliekua akikinoa kikosi cha Dortmund na Roger Schmidt alikua akiinoa klabu ya Bayerleverkusen.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz