-->

Type something and hit enter

author photo
By On
           

Mchezaji rugby amefungikiwa kucheza mchezo huo maisha baada ya kumtwanga mwamuzi ngumi kali hadi akapoteza fahamu.
Mwamuzi  Benjamin Casty alionekana kuzozana na mchezaji huyo aitwaye Hedi Ouedji mwenye umri wa miaka 21 tu.


Hedi Ouedji alikuwa amesajiliwa na Saint Esteve alimtwanga mchezaji wa timu ya Toulouse aliyemfuata baada ya yeye kumpiga mwamuzi.

Click to comment
 
Blog Meets Brand