-->

Type something and hit enter

On

Goli pekee la Michy Batshuayi laihakikishia klabu ya Chelsea ubingwa wa ligi kuu England kwa mwaka 2016-2017 baada ya ushindi wa goli 1-0 dhidi ya West Brom na kujikita kileleni mwa ligi hiyo kwa tofauti ya pointi 10 dhidi ya wapinzani wao Tottenham.


Chelsea ambao wametwaa ubingwa huo wakiwa na pointi 87 huku wakiwa wamecheza michezo ipatayo 36 wameweka pengo la pointi zipatazo 10 miongoni mwao na wapinzani wao Tottenham pointi ambazo Tottenham hawezi kufikisha licha ya kua kacheza michezo 35.

Click to comment
 
Blog Meets Brand