Silaha Mbili za Afrika Kusini Kuamua Dabi ya Kariakoo Oktoba 10

Mchezo wa Dabi ya Kariakoo uliopangwa kuchezwa Oktoba 10 umeanza kuwasha moto mapema kabla hata ya dakika 90 za pambano hilo. Kuelekea mchezo huo wa kukatana shoka, Simba SC inaingia uwanjani ikiwa na silaha mbili hatari kutoka Afrika Kusini zenye sura tofauti—Neo Maema na Keletso Makgalwa. Wakati Neo Maema akiwa amebeba mzigo wa uzoefu wa […]

The post Silaha Mbili za Afrika Kusini Kuamua Dabi ya Kariakoo Oktoba 10 appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/fFmW3J1
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post