MENEJA wa Simba, Patrick Rweyemamu, amesema kambi ya timu hiyo nchini Afrika Kusini imefanikiwa kwa kiwango kikubwa, akifichua kuwa zaidi ya asilimia 80 hadi 90 ya mipango iliyowekwa imetekelezwa, huku akisisitiza kikosi hicho kiko tayari kurejea kwenye ushindani baada ya mapumziko ya FIFA. Rweyemamu amesema Simba imebakiza siku mbili kabla ya kurejea Dar es Salaam, […]
The post Patrick Rweyemamu Afichua Siri ya Mafanikio Kambi ya Simba SC Afrika Kusini appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/8sTuFkr
via IFTTT
Post a Comment