Kikosi cha timu ya wananchi wa Chamazi, Azam FC, kimewasili rasmi nchini Misri baada ya kuondoka leo Jumatatu asubuhi kuelekea jijini Cairo kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa kwanza wa raundi ya pili ya awali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Zed FC. Mchezo huo wa kusisimua utapigwa kwenye Uwanja wa […]
The post Kikosi cha Azam FC Chaondoka Kwenda Misri Kuwakabili Zed FC Kombe la Shirikisho appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/7t1u4ry
via IFTTT
Post a Comment