Saimon Msuva Anafaa Kuwa Kapteni Mpya Wa Taifa Stars?

Baada ya mshambuliaji na nahodha wa muda mrefu wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, kutangaza kustaafu kuitumikia timu ya taifa, swali kubwa lililobaki kwa mashabiki na wadau wa soka nchini ni: Nani anapaswa kurithi kitambaa cha ukapteni? Licha ya ushindani na uwepo wa wachezaji wengi wenye uwezo na nidhamu ya uongozi ndani ya kikosi, tathmini ya […]

The post Saimon Msuva Anafaa Kuwa Kapteni Mpya Wa Taifa Stars? appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/Su5IhVK
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post