Pigo Zito Kagera Sugar: Mchezaji Nje Msimu Mzima, Wengine 5 Wajeruhiwa!

Mzimu wa majeraha umeendelea kuitesa vibaya klabu ya Kagera Sugar, baada ya wachezaji sita wa kikosi cha kwanza kukumbwa na majeraha mbalimbali, huku mshambuliaji wao tegemeo, Kassim Fekha, akitarajiwa kukosa msimu mzima wa 2026/2027. Fekha amefanyiwa upasuaji wa goti kufuatia jeraha kubwa alilolipata kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Black Stars uliochezwa […]

The post Pigo Zito Kagera Sugar: Mchezaji Nje Msimu Mzima, Wengine 5 Wajeruhiwa! appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/cyeTCX3
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post