Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga SC, usiku wa leo wanaanza safari yao ya kusaka mafanikio kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) watakaposhuka uwanjani kuvaana na wenyeji wao, Gaborone United, katika mchezo wa mkondo wa kwanza utakaopigwa kwenye Uwanja wa Taifa wa Botswana.
Mchezo huo unaotarajiwa kuanza majira ya saa 2:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, unatajwa kuwa mtihani wa kwanza mzito kwa Kocha Mkuu wa Yanga, Manqoba Mngqithi, ambaye amedhamiria kuivusha timu hiyo na kufika mbali zaidi katika michuano hiyo mikubwa zaidi kwa ngazi ya klabu barani Afrika.
Bonyeza hapa kudownload App hii utazame sasa
Usikose kutazama mechi zote LIVE kupitia simu yako pia ukiwa na App hii utaweza kutazama mechi zA Caf, kagame cup , mechi zote za ulaya, ligi kuu Tanzania bara, CRDB CUP na nyingine nyingi LIVE kupitia Simu yako
download App hii mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPAAAA AU HAPAAAA au HAPAA

Post a Comment