Miguel Gamondi amesema mchakato wa kupata nahodha mpya unaendelea baada ya Mbwana Samatta kustaafu. Saimon Msuva ametajwa kwenye mjadala kutokana na uzoefu na rekodi yake Stars.
The post Baada ya Samatta: Ukapteni Taifa Stars Waingia Mjadala, Msuva Apewa Uzito appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/BOZwnW6
via IFTTT
Post a Comment