Baada ya siku 10 za ushindani mkali ulioshuhudia jumla ya mabao 42 katika hatua ya makundi, michuano ya Kombe la CECAFA Kagame 2026 sasa imeingia kwenye hatua ya nusu fainali. Ni timu nne pekee zilizosalia kwenye mbio za kuwania taji hili la heshima Afrika Mashariki na Kati. Miamba minne iliyokata tiketi ya kucheza nusu fainali […]
The post Nusu Fainali CECAFA Kagame 2026: Ratiba, Timu Zilizofuzu & Uchambuzi Wa Moto! appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/F8WZE6a
via IFTTT
Post a Comment