Ni siku moja tu imesalia kuelekea maadhimisho ya kilele cha wiki ya Simba, Tamasha kubwa la burudani kufanyika pale uwanja wa Uhuru.
Ni SIMBA DAY inayokwenda sambamba na maadhimisho ya miaka 90 ya klabu ya Simba.
Simba imethibitisha klabu ya Polisi Fc ya Kenya imealikwa kunogesha Tamasha hilo la kihistoria kwa Mnyama.
Ni siku ya kipekee kwa Wanasimba, kufahamu kikosi chao kuelekea msimu ujao pamoja na kupata burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali.
Burudani zinatarajiwa kuanza saa 4 asubuhi na kuhitimishwa na mchezo kati ya Simba dhidi ya Polisi Kenya, saa 2 usiku
Bonyeza hapa kudownload App hii utazame sasa
Usikose kutazama tamasha hili na mechi zote LIVE kupitia simu yako pia ukiwa na App hii utaweza kutazama mechi zA Caf, kagame cup , mechi zote za ulaya, ligi kuu Tanzania bara, CRDB CUP na nyingine nyingi LIVE kupitia Simu yako
download App hii mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPAAAA AU HAPAAAA au HAPAA

Post a Comment