Yanga Yapambana na FAR Rabat, Al Ahly Tripoli Kumuwania Lilepo

UONGOZI wa Yanga unatajwa kuwa katika mazungumzo ya mwisho ya kumsajili winga wa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, Makabi Lilepo, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuimarisha kikosi kuelekea msimu wa 2026/27. Taarifa zinaeleza kuwa mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara wanaendelea kusukuma kwa nguvu kukamilisha dili hilo mapema, huku kocha mkuu mpya, Manqoba […]

The post Yanga Yapambana na FAR Rabat, Al Ahly Tripoli Kumuwania Lilepo appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/2xq6RFn
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post