Wakati maandalizi ya msimu mpya wa ligi 2026/27 yakipamba moto, klabu ya Simba SC imeweka wazi ratiba kamili ya matukio kuelekea tamasha kubwa la Simba Day 2026, linalotarajiwa kufanyika Agosti 8 katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo, mfululizo wa shughuli hizo utaanza rasmi Julai 25 […]
The post Ratiba Kamili Simba Day 2026: Uzinduzi Wa Jezi Mpya, Marathon Na Kilele Uwanja Wa Uhuru appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/QX7fJZx
via IFTTT
Post a Comment