Hatima ya Neo Maema Simba SC: Mazungumzo Yakwama, De Reuck Asafiri Rwanda

DAR ES SALAAM, Tanzania — Hatima ya kiungo mshambuliaji raia wa Afrika Kusini, Neo Maema, ndani ya kikosi cha Simba SC imeendelea kugubikwa na usiri, kufuatia mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya kati yake na viongozi wa klabu hiyo kugonga mwamba katika hatua za mwisho. Taarifa za ndani kutoka msimbazi zinaeleza kuwa Kocha Mkuu wa Simba, […]

The post Hatima ya Neo Maema Simba SC: Mazungumzo Yakwama, De Reuck Asafiri Rwanda appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/LlaD9Qq
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post