Chasambi Afichua Sababu za Kutua Singida BS, Aingia Vita ya CECAFA Kagame

Kiungo mpya wa Singida Black Stars, Ladack Chasambi, amefunguka kuhusu sababu zilizomfanya achague kujiunga na miamba hiyo ya Singida, akitaja fursa ya kushiriki michuano ya kimataifa kama nguzo kuu ya maamuzi yake. Chasambi, ambaye amejiunga na Singida BS akitokea Simba SC, ameeza kuwa mradi kabambe wa klabu hiyo pamoja na malengo yake ya kurejea kwenye […]

The post Chasambi Afichua Sababu za Kutua Singida BS, Aingia Vita ya CECAFA Kagame appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/x9ap41T
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post