WAWAKILISHI wa Tanzania Bara katika michuano ya CECAFA Kagame Cup 2026, Singida Black Stars na Simba SC, leo Jumamosi (Julai 25, 2026) wanashuka dimbani mjini Kigali, Rwanda, kuanza rasmi vita ya kusaka ubingwa wa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Michuano hiyo iliyoanza Ijumaa ya Julai 24, inatarajiwa kutimua vumbi kwa mechi kali huku timu […]
The post CECAFA Kagame Cup 2026: Simba na Singida Black Stars Kuanza Kazi Leo Kigali appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/5YgyNuS
via IFTTT
Post a Comment