Barker Afunguka Mabadiliko Simba SC Dhidi ya Jamus SC CECAFA

Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, amewatoa hofu mashabiki wa klabu hiyo kwa kueleza kuwa kikosi chake kimefanya tathmini ya kina kufuatia sare ya mchezo wa kwanza wa Kombe la CECAFA Kagame dhidi ya Mogadishu City Club (MCC). Simba SC, ambayo hivi sasa ipo nchini Rwanda ikishiriki michuano hiyo ya kanda, inajiandaa kushuka dimbani […]

The post Barker Afunguka Mabadiliko Simba SC Dhidi ya Jamus SC CECAFA appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/aTYbxqs
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post