Nahodha na beki tegemeo wa Yanga SC, Bakari Mwamnyeto, amefikia makubaliano ya maslahi binafsi na uongozi wa klabu hiyo kwa ajili ya kusaini mkataba mpya wa miaka miwili. Hatua hii inadhihirisha wazi dhamira ya mabingwa hao wa nchi kuendelea kubaki na safu yao imara ya ulinzi. Taarifa za ndani kutoka ndani ya klabu ya Yanga […]
The post Bakari Mwamnyeto Kubaki Yanga: Afikia Makubaliano Ya Mkataba Mpya Wa Miaka Miwili appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/9ZzOgpk
via IFTTT
Post a Comment