Timu ya taifa ya Croatia itakutana na Ubelgiji (Belgium) leo Juni 2 saa 19:00 usiku katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kati ya mataifa mawili yenye historia nzuri ya soka barani Ulaya. Mechi hii ni sehemu ya maandalizi ya timu zote mbili kuelekea michuano ya kimataifa ijayo, ikiwemo kufuzu […]
The post CROATIA DHIDI YA UBELGIJI MCHEZO WA KIRAFIKI KABLA YA MATAIFA appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/BdRmNv6
via IFTTT
Post a Comment