Nilivyopata Usingizi Tena Baada ya Miezi ya Kuamka Kila Saa na Mawazo Yasiyokwisha

Kwa miezi mingi nilikuwa naishi maisha ambayo sikuwa nimeyatarajia. Kila usiku nilikuwa naingia kitandani nikiwa nimechoka sana, lakini usingizi haukuwa unakuja kama zamani. 

Na hata nilipofanikiwa kulala, nilikuwa naamka mara kwa mara usiku bila sababu ya kueleweka.

Mwanzoni nilidhani ni jambo la kawaida tu.

Nilijiambia labda ni uchovu wa kazi, mawazo ya maisha, au msongo wa kawaida unaopita. Lakini kadri siku zilivyopita, hali ilianza kuwa mbaya zaidi. Ilifika hatua nilikuwa naamka kila saa usiku. 

Mara nafikiria madeni, mara familia, mara mambo ya kazi. Kichwa changu kilikuwa hakitulii kabisa. Asubuhi nilikuwa naamka nimechoka kana kwamba sikulala hata dakika moja.

Kilichoniumiza zaidi ni jinsi hali hiyo ilianza kuathiri maisha yangu ya kila siku. Nilianza kuwa mkali kwa watu wa karibu, nilikosa nguvu kazini, na wakati mwingine nilikuwa nasahau vitu vidogo vidogo. 

Hata afya yangu ilianza kubadilika kwa sababu ya kukosa usingizi wa kutosha. Nilijaribu kila nilichojua.

Nilijaribu kulala mapema, kuacha kutumia simu usiku, kunywa vinywaji vya kutuliza, na hata kusikiliza muziki wa polepole kabla ya kulala. 

Kuna siku hali ilionekana kuimarika kidogo, lakini baada ya muda matatizo yalirudi tena. Kadri miezi ilivyopita, nilianza kukata tamaa.SOMA ZAIDI..............................

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post