Kwa miaka mingi nilifanya kazi sehemu moja bila kuona mabadiliko yoyote. Nilikuwa nafika mapema kuliko wengi, naondoka kuchelewa, na kuhakikisha kila kazi niliyopewa nimeifanya vizuri.
Lakini kila ilipofika wakati wa promotion, majina ya wengine ndiyo yalikuwa yanatajwa mimi nikibaki pale pale.
Kilichoniumiza zaidi ni kuona watu niliowafunza kazi wakipandishwa vyeo kunizidi. Wakati mwingine nilikuwa nikibaki ofisini nikijiuliza kama kweli juhudi zangu zilikuwa zinaonekana au nilikuwa napoteza muda wangu tu.

Bosi wangu hakuwa hata ananipa nafasi ya kusikilizwa.
Mara nyingi mawazo yangu yalipuuzwa kwenye mikutano, na nilianza kujiona kama mtu asiye na thamani kazini. Kadri muda ulivyopita, nilianza kupoteza motisha.
Mara nyingi mawazo yangu yalipuuzwa kwenye mikutano, na nilianza kujiona kama mtu asiye na thamani kazini. Kadri muda ulivyopita, nilianza kupoteza motisha.
Ilifika hatua nikaanza hata kutafuta kazi nyingine kimya kimya kwa sababu nilihisi sitawahi kuthaminiwa hapo. SOMA ZAIDI.........................
Post a Comment