Nilivyonyimwa Kupandishwa Cheo Kwa Miaka Minne na Kupokea Barua ya Kupandishwa Ghafla Baada ya Tukio Moja Ofisini

Kwa miaka minne niliweka moyo wangu wote kazini. Nilikuwa nafika mapema, naondoka kuchelewa, na kufanya kazi kwa bidii kuliko hata ilivyohitajika. 

Wenzangu walikuwa wakipandishwa vyeo mmoja baada ya mwingine, lakini mimi nilibaki kwenye nafasi ile ile.

Kila mwaka nilikuwa na matumaini kuwa safari hii ningetambuliwa. Nilifanya kila tathmini ya kazi kwa umakini, nikarekebisha makosa yangu, lakini majibu yalikuwa yale yale niendelee kujitahidi. Kadri muda ulivyopita, nilianza kuhisi kama juhudi zangu hazionekani kabisa.

Nilijaribu kuzungumza na wakubwa wangu, lakini majibu yao hayakuwa ya kuridhisha. Hali hiyo ilinikatisha tamaa na kunifanya nipoteze motisha.

Ilifika hatua nikaanza kufanya kazi kwa mazoea, nikiwa nimekubali moyoni kuwa labda sitawahi kupandishwa cheo hapo.SOMA ZAIDI..........................

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post