Nilivyomrudisha Ex Wangu Aliyenizuia Kila Mahali na Kukataa Hata Kunisalimia Baada ya Penzi Letu Kuvunjika Vibaya

Sikuwahi kufikiria kwamba mtu ambaye tuliwahi kuwa karibu kiasi kile angeweza kunigeuka kabisa kana kwamba hatukuwahi kufahamiana. 

Tulikuwa tumepitia mengi pamoja furaha, mipango, na hata ndoto za maisha ya baadaye. Lakini penzi letu lilipovunjika, kila kitu kilibadilika ghafla.

Kilichoniumiza zaidi ni namna tulivyoachana vibaya. Tuligombana kwa maneno makali, hasira zikazidi, na mwisho wake kila mmoja akaamua kwenda njia yake. 

Mwanzoni nilijifanya niko sawa, lakini kadri siku zilivyopita nilianza kugundua kuwa bado nilikuwa nampenda.

Nilijaribu kuwasiliana naye mara kadhaa ili tuongee kama watu wazima, lakini hali ilikuwa mbaya kuliko nilivyodhani. 

Alinizuia kila mahali simu, WhatsApp, hata social media. Kila nilipokutana naye kwa bahati mbaya, alikuwa ananipita bila hata kunisalimia.
Kwa kweli ilinivunja moyo.

Marafiki waliniambia nimsahau na kuendelea na maisha, lakini haikuwa rahisi. Nilikuwa najutia mengi maneno niliyosema kwa hasira, makosa niliyofanya, na jinsi nilivyoshindwa kulinda uhusiano wetu. Miezi ilipita nikiwa kwenye maumivu na kuchanganyikiwa.

Nilijaribu kuendelea mbele lakini kila nikijaribu kuanzisha kitu kipya, moyo wangu ulikuwa bado kwake. Ilifika hatua nikaanza kukata tamaa kabisa. SOMA ZAIDI.....................

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post