Kwa miaka miwili nilikuwa naishi maisha ya kukataliwa. Kila wiki nilikuwa natuma CV, nikajaza applications, na kwenda interviews nikiwa na matumaini makubwa.
Wakati mwingine nilikuwa nafika hatua ya mwisho kabisa ya usaili, mpaka naambiwa, “Tutakupigia simu.” Lakini simu haikuwahi kuja.
Mwanzoni nilijipa moyo. Nilijua maisha si rahisi na kila mtu hupitia changamoto. Lakini kadri muda ulivyopita, hali ilianza kuniumiza zaidi.
Mwanzoni nilijipa moyo. Nilijua maisha si rahisi na kila mtu hupitia changamoto. Lakini kadri muda ulivyopita, hali ilianza kuniumiza zaidi.
Nilikuwa na qualifications nzuri, nilijitahidi kuvaa vizuri kwenye interviews, na hata kujifunza jinsi ya kujibu maswali kwa confidence.
.Lakini kila nilipokaribia kupata kazi, mambo yalikuwa yanaharibika ghafla bila kuelewa sababu. Kilichoniumiza zaidi ni kuona marafiki niliomaliza nao shule wakianza maisha vizuri huku mimi nikiwa bado narudi nyumbani mikono mitupu.
Wengine walikuwa hata wananishangaa, wakisema, “Inawezekanaje umefanya interviews nyingi hivi bila kazi?”
Polepole nilianza kupoteza kujiamini. Ilifika hatua nikaanza kuogopa hata kuona tangazo la kazi. Nilikuwa nimechoka psychologically.
Polepole nilianza kupoteza kujiamini. Ilifika hatua nikaanza kuogopa hata kuona tangazo la kazi. Nilikuwa nimechoka psychologically.
Kila niliposikia simu ikiita baada ya interview, moyo ulikuwa unapiga haraka, lakini mara nyingi ilikuwa disappointment nyingine.
Siku moja baada ya kufeli interview yangu ya sita mfululizo, nilikaa peke yangu nikijiuliza kama kweli kuna kitu nilikuwa sifanyi sawa.SOMA ZAIDI.......................
Siku moja baada ya kufeli interview yangu ya sita mfululizo, nilikaa peke yangu nikijiuliza kama kweli kuna kitu nilikuwa sifanyi sawa.SOMA ZAIDI.......................
Post a Comment