Safari yangu ya elimu haikuwa rahisi kama watu wengi walivyodhani. Nilijaribu mara ya kwanza kufanya mitihani yangu ya mwisho nikiwa na matumaini makubwa, lakini matokeo yalipokuja, nilifeli. Iliniumiza sana, lakini niliamua kujaribu tena.
Mara ya pili, niliweka juhudi zaidi. Nilijisomea kwa bidii, nikajitenga na marafiki, na kutumia muda wangu mwingi kusoma.

Lakini matokeo yaliporudi, bado hayakuwa ya kuridhisha. Nilihisi kama ndoto yangu ya kujiunga na chuo kikuu ilikuwa inaanza kufifia.
Jaribio la tatu ndilo lilikuwa gumu zaidi. Nilikuwa nimechoka kiakili na kihisia, lakini bado nilijipa moyo nijaribu tena.

Nilifanya mitihani nikiwa na hofu na mashaka mengi. Wakati matokeo yalipotoka, hayakuwa mabaya sana, lakini bado hayakutosha kunipa nafasi ya moja kwa moja ya chuo kikuu.
Nilijikuta nikiwa sina mwelekeo. Nilianza kufikiria kuacha kabisa ndoto yangu ya masomo ya juu. Ilikuwa ni wakati mgumu sana, na nilihisi kama nimekwama maishani. Baada ya muda wa kutafakari, niliamua kutafuta mwongozo wa ziada.SOMA ZAIDI......................

Post a Comment