Nilivyobadilisha Maisha Yangu Baada ya Kupewa Pete ya Ajabu Iliyosemekana Kuvutia Bahati na Milango ya Mafanikio Kufunguka Ghafla

Kuna kipindi maishani mwangu nilihisi kama kila kitu kilikuwa kinaniendea vibaya. Haikuwa kwamba sikuwa najituma. Kwa kweli nilikuwa mtu wa bidii sana. 

Nilikuwa nafanya kazi kwa juhudi, nikijaribu biashara tofauti tofauti, na kila mara nilikuwa na ndoto ya kubadilisha maisha yangu na kusaidia familia yangu.

Lakini mambo yalikuwa hayaendi kama nilivyotarajia. Kila nilipoanza jambo jipya, lilikuwa linaishia njiani. Biashara moja ilifeli. 

Kazi niliyokuwa naiomba haikupatikana. Wakati mwingine nilikuwa karibu kupata opportunity nzuri, lakini ghafla mambo yaliharibika bila maelezo.

Kwa kweli nilianza kuchoka. Watu wa karibu walikuwa wakiniambia niwe mvumilivu, lakini moyoni nilikuwa nimeanza kupoteza matumaini. Kulikuwa na usiku nilikesha nikifikiria sana kuhusu maisha yangu na future yangu.

Kilichoniumiza zaidi ni kuona watu nilioanza nao maisha wakisonga mbele huku mimi nikihisi kama nimesimama sehemu moja. Nilijaribu kila njia. Niliongeza bidii kazini. 

Nikaanza biashara nyingine ndogo. Nikabadilisha mipango yangu mara kadhaa, lakini bado mambo yalionekana kuwa magumu.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post