Mashabiki wa soka na burudani sasa wana sababu mpya ya kutabasamu baada ya Meridianbet kumtangaza Dejan Petković “Pet” kuwa Global Brand Ambassador wake mpya. Huyu ni mmoja wa mastaa waliotengeneza historia kubwa Brazil, na sasa anakuja kuongeza moto kwenye familia ya Meridianbet duniani. Kupitia ujio wa Pet, Meridianbet imefungua ukurasa mpya wa burudani kupitia Pet TV. […]
The post MERIDIANBET YAMLETA PET KUIPANDISHA THAMANI MICHEZO appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/lzPKefH
via IFTTT
Post a Comment