Kutoka kuwa msusi hadi kuwa maduka ya jumla morogoro!

Naitwa Shamsa, mkazi wa zamani wa Magomeni, jijini Dar es Salaam. Kwa miaka tisa nilikuwa msusi maarufu wa nywele za kike, lakini maisha yangu yalikuwa ya ajabu. 

Licha ya kusuka watu vizuri, kila pesa niliyokuwa naingiza ilikuwa inayeyuka kama barafu juani.

Nilikuwa nafanya kazi usiku na mchana, lakini mwisho wa mwezi nabaki na deni la kodi ya fremu na deni la luku. 

Nilianza kuitwa msusi wa “nywele za majini” kwa sababu kila mteja niliyemsuka alikuwa harudi tena, na wengine walikuwa wanadai nywele zinawawasha bila sababu.

Hali hii ilinifanya nikose amani ya moyo. Nilihisi kuna mtu amenifunga nyota yangu ya mikono kiasi kwamba kila nikigusa kichwa cha mtu, baraka zinatoweka.

Nilikonda kwa mawazo, na marafiki zangu walioanza kusuka baada yangu tayari walikuwa wamefungua ‘saloon’ kubwa za kisasa huku mimi nikizidi kurudi nyuma. 

Nilifikia hatua ya kuwaza kuacha kazi na kwenda kuwa mfanyakazi wa ndani ili mradi tu nipate pa kulala.SOMA ZAIDI...................

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post