Furaha Yarejea Nyumbani Baada ya Mwanamume Kupata Msaada wa Changamoto za Uzazi

Baada ya miaka kadhaa ya ndoa bila kupata mtoto, maisha ya Musa (si jina lake halisi) yalikuwa yamejaa mawazo na huzuni. 

Yeye na mke wake walikuwa wamejaribu njia mbalimbali kutafuta suluhisho la changamoto yao ya uzazi, lakini matumaini yalionekana kufifia kila mwaka ulivyopita.

Kwa mujibu wa Musa, hali hiyo ilianza kuathiri furaha ya familia na kuleta msongo wa mawazo ndani ya ndoa.SOMA ZAIDI.......................

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post