Sikuwahi kufikiria kuwa tamaa ya kupata pesa haraka ingeniletea fedheha kubwa kiasi hicho. Nilikuwa nimechoka na maisha ya kawaida, nikiishi kwa shida na kutafuta njia za mkato za kupata pesa. Ndipo nikaingia kwenye njia ambayo baadaye ilinigeukia vibaya.
Nilianza kujifunza mbinu za wizi wa M-Pesa kupitia marafiki ambao walionekana kufanikiwa. Walinieleza jinsi ya kuwahadaa watu na kupata pesa kirahisi. Mwanzoni nilifanya mara chache na nikapata pesa kidogo, jambo lililonifanya nijiamini zaidi.
Siku moja nilipanga kufanya dili kubwa zaidi. Nilipata namba ya mtu ambaye nilidhani ningemuibia bila matatizo. Nilifuata kila hatua kama nilivyofundishwa, lakini ghafla mambo yalibadilika.
Badala ya pesa kuingia kwenye akaunti yangu, nilijikuta nimefungiwa kabisa huduma yangu ya simu. Nilipiga simu kuuliza, ndipo nikagundua kuwa nilikuwa nimeingia kwenye mtego. Mtu niliyekuwa namlenga alikuwa tayari amechukua hatua za kuninasa.SOMA ZAIDI.
Michezo, Matokeo, ajira, Livescore,msimamo wa ligi
Post a Comment