Usiku wa leo saa 4:00, uwanja wa Parc des Princes unawaka moto kwa sababu Paris Saint-Germain wanawakaribisha Liverpool kwenye hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Watu wamesahau kuwa mechi hii si ya kawaida, ni kama vita ya kutua kwenye nusufainali ambako kila timu inajua kukosea si chaguo.
Hebu fikiria, PSG wako nyumbani hivyo wana shinikizo la kutosha, lakini Liverpool wana historia ya kusema “tulieni, tutaamua Anfield”. Huu usiku, ni muhimu kwa wachezaji kudhibiti akili zao kama vile wanavyodhibiti mpira.
Tunapotazama historia ya timu hizi zimekutana mara 6 na kila timu imeshinda mara 3 hakuna anayemzidi mwenzake. Msimu uliopita kwenye hatua ya 16 Bora, PSG walishinda kwa penalti baada ya sare 1-1 ugenini Anfield, huku Liverpool wakiwa wamepata ushindi wa 1-0 nyumbani kwa PSG.
Leo wana nafasi ya kulipiza kisasi, lakini kumbuka Liverpool walikuwa wababe wa kundi kwa kumaliza katika nafasi ya 3 kwenye msimamo, wakati PSG waliingia kwenye play-off na kusumbuliwa na Monaco kabla ya kufuzu kwa jumla ya mabao 5-4. Liverpool wameonyesha nguvu kwa kuwafunga Qarabag 6-0 Anfield, hivyo wana uhodari wa kuwapiga timu zinazojitosa mbele.
Hali ya majeruhi kwa upande wa Liverpool umeumia vikali zaidi kwa kukosa kipa wao Alisson Becker, pamoja na Jeremie Frimpong na Conor Bradley ambao ni muhimu kwenye ulinzi. kuna habari njema kwamba Mohamed Salah anarejea baada ya jeraha, na yeye ni kama mwenge unaoangaza gizani.jisajili na Meridianbet
Kwa upande wa PSG, Bradley Barcola na Fabian Ruiz wamo nje, lakini bado wana silaha za kutosha kama Ousmane Dembélé anayeweza kumchocha kila beki, na Khvicha Kvaratskhelia ambaye yuko kwenye form kali tangu ajiunge. Dembélé na Salah ndio nyota wanaotarajiwa kuwa wakiwa na mzigo wa kuwaongoza timu zao kwenye ushindi.
Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Luis Enrique atajaribu kuvuta mchezo kwenye eneo lake kwa kutumia winga wepesi na mashambulizi ya haraka, lakini ujanja wake utakabiliwa na mpango wa Arne Slot wa kukaa chini kama mchawi na kurarua kwa kupitia kwa Salah na Hugo Ekitike wanapopata nafasi.
Kwenye nafasi za ushindi, PSG wana asilimia kubwa ya kushinda kwa sababu ya faida ya uwanja wa nyumbani, huku Liverpool wakipewa asilimia ndogo ya kushinda. Liverpool aliyekwisha onja Ligi ya Mabingwa mara kadhaa. Jisajili sasa
PSG wakiweza kushinda leo kwa tofauti ya mabao zaidi ya moja, basi safari ya Liverpool Anfield itakuwa ngumu kama kukwea mlima kwa mikono. Hata hivyo, wapenzi wa michezo wanajua Liverpool ni timu ya roho na ukomavu, hawawezi kukata tamaa kwa kukosa kipa wao mkuu.
Ninaamini leo usiku tutashuhudia mechi yenye mabao mengi, na PSG wakichukua faida nyumbani kwa mabao 2 dhidi ya 1, lakini Anfield ndio itaamua hatima yao.
The post USIKU WA MWISHO WA NDOTO, PSG NA LIVERPOOL KUGOMBANIA NUSU FAINALI appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/nq87Ubh
via IFTTT
Post a Comment