Nilivyomkamata Mume Wangu Akicheat na Hatimaye Kutafuta Suluhisho Lisilo la Kawaida

 

Mimi nilikuwa na ndoa ambayo nilidhani ni imara. Tulianza vizuri, tukijenga maisha pamoja kwa matumaini makubwa. 

Sikuwahi kufikiria kwamba siku moja ningekutana na ukweli ambao ungegeuza kila kitu. Dalili zilianza polepole.

Mume wangu alianza kubadilika tabia. Alikuwa kimya zaidi, simu yake haikuwa mbali naye, na wakati mwingine alitoa visingizio visivyoeleweka. 

Nilihisi kuna kitu hakiko sawa, lakini sikuwa na uthibitisho. Nilimweleza rafiki yangu wa karibu kuhusu wasiwasi wangu.SOMA ZAIDI................

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post