Mimi nilipitia kipindi kigumu sana maishani. Kila kitu nilichokuwa nimejenga kilianza kuporomoka taratibu hadi nikajikuta nimepoteza karibu mali zangu zote. Ilikuwa ni wakati wa maumivu makubwa. Nilihisi kama maisha yangu yamefika mwisho.
Nilianza tena kutoka sifuri bila kujua pa kuanzia. Kila siku nilikuwa na mawazo mengi. Nilijiuliza nilikosea wapi na kwa nini mambo yaligeuka ghafla kiasi hicho.

Ilikuwa ngumu kukubali hali halisi.
Baada ya muda, nilianza kutafuta njia za kujikomboa kiakili kwanza kabla ya chochote kingine.SOMA ZAIDI.

Post a Comment