Nilipigiwa simu na namba yangu mwenyewe, ndipo mambo yakaanza kwenda left

 


Siku hiyo ilikuwa jioni ya kawaida kabisa. Nilikuwa nimekaa sebuleni nikitazama TV, nikijaribu kupumzika baada ya siku ndefu ya kazi. Ghafla, simu yangu ikaanza kuita.

Nilipoangalia screen, nilibaki confused kabisa.

Namba iliyokuwa inanipigia ilikuwa ni namba yangu mwenyewe.

Mwanzoni nilidhani ni glitch tu ya simu. Lakini simu iliendelea kuita. Nilichukua kwa hofu kidogo. Upande wa pili kulikuwa na ukimya mzito, kisha nikasikia sauti ambayo ilifanana kabisa na yangu.

Sauti hiyo ilisema maneno machache tu ambayo yaliniacha nikiwa na hofu—kisha simu ikakatika.

Kuanzia siku hiyo, maisha yangu yakaanza kwenda left. Nilianza kupata ndoto mbaya kila usiku. Nilikuwa naota vitu visivyoeleweka, nikishtuka usiku na jasho.

Usingizi wangu ukapotea, na hata akili yangu ikaanza kuwa restless. Nilianza kuhisi kama kuna kitu hakiko sawa kabisa katika maisha yangu.SOMA ZAIDI...

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post