Miaka Yote Nilipuuzwa Kazini Lakini Baada ya Kugundua Siri Moja, Nilipandishwa Cheo Ghafla

 

Nilikuwa mfanyakazi wa kujituma sana. Kila siku nilifika kazini mapema, nilikamilisha majukumu yangu kwa wakati, na hata kusaidia wengine pale walipokwama. 

Lakini licha ya juhudi zote, sikuwahi kutambuliwa wala kupandishwa cheo.

Watu niliowazidi hata kwa uzoefu na utendaji walikuwa wakipandishwa kila mara. Hali hiyo iliniumiza kimya kimya.

Nilianza kujiuliza kama kuna kitu nilikuwa nafanya vibaya au kama juhudi zangu hazikuwa zinaonekana kabisa. 

Nilijaribu kuboresha kazi yangu zaidi, kuongeza ujuzi, na hata kujitolea kufanya kazi za ziada. Lakini bado hali haikubadilika. Ilifika hatua nikaanza kukata tamaa na kufikiria kuacha kazi.

Baada ya kuchoka na hali hiyo, niliamua kutafuta mwongozo wa ziada.SOMA ZAIDI.............

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post