Hamu ilirudi kwa nguvu na ule ukavu uliokuwa unanisababishia maumivu ulitoweka

 

Naitwa Happy, na leo nataka kuwashirikisha jinsi nilivyofanikiwa kupona “jangwa” lililokuwa limetawala ndani ya chumba changu cha kulala kwa zaidi ya miaka mitatu.

Maisha yangu ya ndoa yalianza kuwa na simanzi baada ya mimi kupatwa na tatizo la ukavu uliokithiri na kukosa kabisa hamu ya tendo la ndoa.

Kila tulipojaribu kushiriki unyumba, nilihisi maumivu makali sana kiasi cha kunifanya nianze kulichukia tendo la ndoa na kuanza kumkwepa mume wangu. Nilikuwa najihisi mwanamke nisiyekamilika na niliyekosa thamani mbele ya mume wangu.

Hali hii ilipelekea mume wangu kuanza kunitolea maneno ya kashfa na hata kuanza kutafuta faraja nje ya nyumba.

Nilikuwa najisikia aibu sana na mara nyingi nilikuwa najifungia ndani na kulia kwa uchungu nikijiuliza nimekosea wapi.

Nilienda kwa waganga wa kienyeji mbalimbali wakasema nimerogwa na ndugu wa mume wangu wasionitakia heri.

Nilitumia pesa nyingi kutoa “uchawi” huo lakini hakuna mabadiliko yoyote yaliyotokea.

Ukavu ulibaki pale pale na hamu ikazidi kutoweka kila kukicha, huku ndoa yangu ikizidi kuelekea shimoni.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post