Njia 7 za kuongeza mauzo ya biashara yako ndani ya muda mfupi kwa kutumia mbinu rahisi lakini zenye matokeo makubwa

 

Nilikuwa nimekata tamaa kabisa na biashara yangu kabla ya kugundua njia hizi. Mimi ni Kelvin kutoka Dar es Salaam, na nilikuwa na biashara ya vifaa vya simu ambayo ilikuwa inadorora kila siku. 

Wateja walikuwa wachache, mauzo yalikuwa madogo, na gharama zilikuwa zinaongezeka bila faida ya kuridhisha.

Nilijaribu mbinu nyingi kama matangazo ya mitandaoni, punguzo la bei, na hata kubadilisha mpangilio wa duka langu, lakini bado hali haikubadilika. Nilianza kufikiria kufunga biashara yangu kwa sababu sikuona matumaini yoyote.

Siku moja, nilikutana na mfanyabiashara mwenzangu aliyekuwa amepata mafanikio makubwa ghafla.SOMA ZAIDI..........

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post