Mimi ni Ashura, natokea mkoani Dodoma, makao makuu ya nchi. Maisha yangu ya mapenzi yalikuwa ni simulizi la kusikitisha ambalo liliwafanya watu wanicheke badala ya kunionea huruma.
Nilikuwa nafikisha miaka 40, lakini kila mwanaume aliyekuwa akitaka kunioa, mwishowe alikuwa anaghairi dakika za mwisho.
Nilivishwa pete za uchumba zaidi ya mara nne, lakini zote ziliishia kwa wanaume hao kutoweka au kupata matatizo yanayofanya ndoa isifungwe.
Watu kijijini kwetu walianza kusema nina nuksi, wengine wakidai nina jini mahaba anayenizuia kuolewa. Nilijisikia mnyonge, nikawa najifungia ndani nalia tu.

Nilikuwa naogopa hata kwenda kwenye harusi za wenzangu maana kila mtu alikuwa ananitazama kwa dhihaka.
Nilikuwa nishakata tamaa kabisa ya kuitwa “mke” au kubeba mwanangu mkononi. Niliona bora nijiue kuliko kuendelea na aibu hii ya kuzeekea nyumbani.SOMA ZAIDI...............................
Post a Comment