Nilipoteza wateja wote kwa wiki moja, mpaka nilipogundua kosa kubwa nililokuwa nafanya

Jina langu ni Abdul. Mimi ni mfanyabiashara wa vyakula katika mji wa Tanga. Kwa zaidi ya miaka mitatu nilikuwa na mgahawa mdogo ambao ulikuwa unafanya vizuri sana.

Watu wa mtaa walikuwa wanapenda sana chakula changu.

Kila siku mchana mgahawa wangu ulikuwa umejaa wateja. Wafanyakazi wangu walikuwa wanashughulika sana kuwahudumia watu.

Kwa kifupi, biashara ilikuwa inaenda vizuri.

Lakini ghafla kila kitu kilibadilika.
Wateja Walianza Kupungua

Mwanzoni niliona wateja wachache tu wamepungua.

Nilidhani labda ni kwa sababu ya hali ya hewa au labda watu hawakuwa na pesa siku hizo.

Lakini siku zilizofuata hali haikubadilika.

Wateja waliendelea kupungua.

Kulikuwa na siku mgahawa ulikuwa karibu tupu kabisa.Soma Zaidi.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post