Jina langu ni Salum. Mimi ni kijana kutoka Mwanza ambaye maisha yangu yalibadilika ghafla baada ya tukio ambalo mpaka leo nikilikumbuka nacheka na kushukuru Mungu.
Miaka michache iliyopita nilikuwa nafanya kazi katika duka moja la vifaa vya ujenzi mjini. Haikuwa kazi kubwa sana lakini ilinisaidia kulipa kodi ya chumba changu na kusaidia familia yangu kijijini.
Maisha yalikuwa ya kawaida tu. Sikuwa tajiri lakini sikuwa na matatizo makubwa.
Lakini siku moja kila kitu kilibadilika.Soma Zaidi.

Post a Comment