“Mtoto wa shule awanasa!” Wizi wa simu ndani ya matatu wafichuliwa na mwanafunzi aliyerekodi tukio kwa siri

Safari ya kawaida ya asubuhi ndani ya matatu moja iliyokuwa ikielekea Nairobi CBD iligeuka kuwa drama kamili baada ya mwanafunzi wa shule ya upili kurekodi kwa siri tukio la wizi wa simu lililokuwa likifanyika mbele ya macho ya abiria bila wao kugundua.

Video hiyo ambayo sasa inasambaa kwa kasi mitandaoni imewafanya wengi kushangaa jinsi mwizi huyo alivyokuwa akifanya kazi yake kwa ustadi mkubwa katikati ya msongamano wa abiria.

Kwa mujibu wa mashuhuda, matatu hiyo ilikuwa imejaa kama kawaida ya magari ya asubuhi yanayoelekea mjini. 

Watu walikuwa wamebanana, wengine wamesimama wakishikilia nguzo, huku wengine wakijaribu kuangalia simu zao au kusikiliza muziki.Soma Zaidi.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post